Jay Melody_Nitasema (Official Video) Song Lyrics

Artist: Jay Melody

Album: Jay Melody

Duration: 3:36

Jay Melody_Nitasema (Official Video) Lyrics

Jimmy x double six baby

Mmmm nah nah

Si unitoke hata mara moja

Akilini mwangu oh mara moja

Ninayopitia ni kama umeniroga

Haya mapenzi yaamenipa gonjwa

Japo sijawai kukwambia

Jinsi ninavyo kuota

Nakuzimia moyo umeukota

Hii dunia nimempenda mmoja

Hizi hisia nitakwambia how i feel

Para ra ra raaaahh

How I feel

Para ra ra raaaahh

Nitasema me

Para ra ra raaaahh

How I feel

Para ra ra raaaahh

Nitasema me

Ooh

Na vitu vyako vinachanganya oh

Unugusapo kwisha mwenzio oh

Your magnet oh, unanivuta hapo

Utanitoa roho, jamani

Unanikosha, unaniwasha, unalia paah moyo wangu

Unanikosha, unaniwasha, unalia paah mmmh

Japo sijawai kukwambia

Jinsi ninavyo kuota

Nakuzimia moyo umeukota

Hii dunia nimempenda mmoja

Hizi hisia nitakwambia how i feel

Para ra ra raaaahh

How I feel

Para ra ra raaaahh

Nitasema me

Para ra ra raaaahh

How I feel

Para ra ra raaaahh

Nitasema me

Unanikosha, unaniwasha, unalia paah moyo wangu

Unanikosha, unaniwasha, unalia paah

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *